Suprise ya Diamond kwa Tanasha kwenye Jukwaa la Wasafi Festival Nairobi

FAHAMU: Usiku wa leo tarehe 31 wakati wa mkesha wa mwaka mpya 2019 kulikuwa na show kali kutoka Wasafi Festival 2018 pale mombsa maeneo ya Uhuru Garden. Wasanii mbalimbali walikuwepo kutoa burudani pia wasanii wa kundi la Morgan Hertage nawo walikuwepo. Wakati Diamond Platnumz yupo kwenye stage anaperform aliweza kutujuza mpango wake wa kumleta Tanzania mpenzi wake mpya Tansha ili aje kumuona mama yake na Diamond Platnumz. Tazama hapo then nipe maoni yako hapo chini kwenye comment 👇

Social Media links
Twitter https://twitter.com/ophorotube
Instagram https://www.instagram.com/ophorotube/
Facebook https://web.facebook.com/ophorotube